eCard gives every person a public card page with their contact details, social links, a "Save contact" button that downloads a vCard, and a QR code. The card can be shared by link, QR code, an NFC tag, a printed card or an Apple/Google Wallet pass.
For organizations
- Issue branded cards to staff, including importing members from a CSV file
- Templates and branding, with company fields that staff cannot change
- Analytics for every card: views, scans and saved contacts
- Lead capture: visitors can share their own details back
Where it stands
Cards, organizations, analytics and leads, printable PDFs and NFC tags, plans and payments, and Wallet passes are built. Payments go through Malipo, our payments service, with Flutterwave for mobile money. Before launch it needs a public domain for card links and NFC tags, a payment merchant account and Apple/Google Wallet issuer accounts.
eCard inampa kila mtu ukurasa wa kadi yake wenye mawasiliano yake, link za mitandao ya kijamii, kitufe cha "Hifadhi mawasiliano" kinachopakua vCard, na QR code. Kadi inashirikiwa kwa link, QR code, kadi ya NFC, kadi iliyochapishwa au Apple/Google Wallet pass.
Kwa makampuni na taasisi
- Kutoa kadi zenye chapa ya kampuni kwa wafanyakazi, ikiwemo kuwaingiza kutoka faili la CSV
- Templates na chapa ya kampuni, pamoja na taarifa za kampuni ambazo wafanyakazi hawawezi kubadilisha
- Takwimu za kila kadi: mara ilipoangaliwa, kuskaniwa na mawasiliano kuhifadhiwa
- Kupata wateja watarajiwa: wanaotembelea kadi wanaweza kuacha taarifa zao
Ilipofikia
Kadi, makampuni, takwimu na wateja watarajiwa, PDF za kuchapisha na kadi za NFC, vifurushi na malipo, na Wallet passes vimeshatengenezwa. Malipo yanapita Malipo, huduma yetu ya malipo, kwa Flutterwave kwa pesa za simu. Kabla ya kuzinduliwa inahitaji domain ya umma kwa link za kadi na NFC, akaunti ya merchant ya malipo, na akaunti za Apple/Google Wallet.